Mathayo 9:1
Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he entered into a ship, and passed over, and came into his own city.
In Context
Cross References
Matthew 7:6“Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua ninyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga.
Matthew 8:23Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
Luke 8:37Wakazi wa nchi ya Gerase walishikwa na hofu kubwa. Kwa hiyo wakamwomba Yesu aondoke, aende zake. Hivyo Yesu alipanda tena mashua, akaondoka.