Marko 6:32
Basi, Wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they departed into a desert place by ship privately.
In Context
Cross References
Mark 3:9Yesu akawaambia wanafunzi wake wamtayarishie mashua moja, ili umati wa watu usije ukamsonga.
Mark 6:45Mara Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie kwenda Bethsaida, ng'ambo ya ziwa, wakati yeye anauaga umati wa watu.
Luke 9:10Wale mitume waliporudi, walimweleza yote waliyoyafanya. Yesu akawachukua, wakaenda peke yao mjini Bethsaida.