Marko 6:45
Mara Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie kwenda Bethsaida, ng'ambo ya ziwa, wakati yeye anauaga umati wa watu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
44Nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume elfu tano.
46Baada ya kuwaaga watu alikwenda mlimani kusali.
Cross References
Matthew 11:21“Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwisha vaa mavazi ya gunia na kujipaka majivu zamani, ili kuonyesha kwamba wametubu.
Mark 6:32Basi, Wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.
Luke 10:13“Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Maana, kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika kule Tiro na Sidoni, watu wake wangalikwishavaa mavazi ya gunia kitambo, na kukaa katika majivu kuonyesha kwamba wametubu.