Marko 6:37
Lakini Yesu akawaambia, “Wapeni ninyi chakula.” Nao wakamwuliza, “Je, twende kununua mikate kwa fedha dinari mia mbili, na kuwapa chakula?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
36Afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula.”
Cross References
Matthew 14:16Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni ninyi chakula.”
Mark 8:2“Nawahurumia watu hawa kwa sababu wamekuwa nami kwa muda wa siku tatu, wala hawana chakula.
John 6:4Sikukuu ya Wayahudi iitwayo Pasaka ilikuwa imekaribia.