Marko 7:36
Yesu akawaamuru wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari hiyo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
35Mara masikio yake yakafunguka na ulimi wake ukafunguliwa, akaanza kusema sawasawa.
37Watu walishangaa sana, wakasema, “Amefanya yote vyema: amewajalia viziwi kusikia, na bubu kusema!”
Cross References
Matthew 8:4Kisha Yesu akamwambia, “Sikiliza, usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na ukatoe sadaka iliyoamriwa na Mose kuwathibitishia kwamba umepona.”
Mark 3:12Lakini Yesu akawaamuru kwa ukali wasimjulishe kwa watu.
Mark 8:26Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!”