Marko 8:5
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Nao wakamjibu, “Saba.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he asked them, How many loaves have ye? And they said, Seven.
In Context
4Wanafunzi wake wakamwuliza, “Hapa nyikani itapatikana wapi mikate ya kuwashibisha watu hawa wote?”
Cross References
Matthew 14:15Kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na saa zimepita. Basi, uwaage watu ili waende vijijini wakajinunulie chakula.”
Mark 6:38Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi? Nendeni mkatazame.” Walipokwisha tazama, wakamwambia, “Kuna mikate mitano na samaki wawili.”