Marko 8:6
Basi, akawaamuru watu wakae chini. Akaitwaa ile mikate saba, akamshukuru Mungu, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu, nao wakawagawia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
5Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Nao wakamjibu, “Saba.”
7Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.
Cross References
Matthew 15:35Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.
Mark 6:39Basi, Yesu akawaamuru wanafunzi wawaketishe watu wote makundimakundi penye nyasi.
Luke 12:37Heri yao watumishi wale ambao bwana wao atakaporudi atawakuta wanakesha! Nawaambieni hakika, huyo bwana atajifunga mkanda kiunoni, atawaketisha mezani na kuwahudumia.
John 2:5Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.”
John 6:23Mashua nyingine kutoka Tiberia zilifika mahali hapo watu walipokula ile mikate, Bwana alipokwisha mshukuru Mungu.