Marko 8:7
Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they had a few small fishes: and he blessed, and commanded to set them also before them.
In Context
8Watu wakala, wakashiba. Wakaokota mabaki yaliyosalia wakajaza makapu saba.
Cross References
Luke 6:41Unawezaje kukiona kibanzi kilicho katika jicho la mwenzio, usione boriti iliyo katika jicho lako mwenyewe?
John 21:5Basi, Yesu akawauliza, “Vijana, hamjapata samaki wowote sio?” Wao wakamjibu, “La! Hatujapata kitu.”