Mathayo 12:8
Maana Mwana wa Mtu ni Bwana wa Sabato.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
For the Son of man is Lord even of the sabbath day.
In Context
9Yesu alitoka hapo, akaenda katika sunagogi lao.
Cross References
Matthew 8:20Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, na ndege wana viota; lakini Mwana wa Mtu hana mahali pa kupumzikia.”
Mark 2:28Kwa hiyo, Mwana wa Mtu ni Bwana hata wa Sabato.”
Luke 6:5Hivyo akawaambia, “Mwana wa Mtu ni Bwana wa Sabato.”
1 Corinthians 9:21Na kwa wale walio nje ya Sheria, naishi kama wao, nje ya Sheria, ili niwapate hao walio nje ya Sheria. Hii haimaanishi kwamba mimi niko nje ya sheria ya Mungu, maana nabanwa na sheria ya Kristo.
Revelation 1:10Basi, wakati mmoja, siku ya Bwana, nilikumbwa na Roho, nikasikia nyuma yangu sauti kubwa kama sauti ya tarumbeta.