Mathayo 12:9
Yesu alitoka hapo, akaenda katika sunagogi lao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when he was departed thence, he went into their synagogue:
In Context
8Maana Mwana wa Mtu ni Bwana wa Sabato.”
Cross References
Luke 6:6Siku nyingine ya Sabato, Yesu aliingia katika sunagogi, akafundisha. Mle ndani mlikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza.