Mathayo 13:33
Yesu akawaambia mfano mwingine: “Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyotwaa mama mmoja, akaichanganya na unga pishi tatu, hata unga wote ukaumuka.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
34Yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. Hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,
Cross References
Matthew 13:24Yesu akawaambia watu mfano mwingine: “Ufalme wa mbinguni unafanana na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.
Luke 13:21Ni kama chachu aliyoitwaa mama mmoja na kuichanganya pamoja na unga debe moja kisha unga wote ukaumuka wote.”
John 16:12“Ninayo bado mengi ya kuwaambieni, ila kwa sasa hamwezi kuyastahimili.
Galatians 5:9“chachu kidogo tu huchachusha donge lote la unga!”