Mathayo 14:11
Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And his head was brought in a charger, and given to the damsel: and she brought it to her mother.
In Context
10Basi, Herode akatuma mtu gerezani amkate kichwa Yohane.
12Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu.
Cross References
Revelation 16:6Maana waliimwaga damu ya watu wako na ya manabii, nawe umewapa damu wainywe; wamestahili hivyo!”