Mathayo 14:36
wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake; wote waliomgusa walipona.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 23:5Wao hufanya matendo yao yote ili watu wawaone. Huvaa tepe zenye maandishi ya Sheria juu ya panda la uso na mikononi na hupanua pindo za makoti yao.
Luke 6:19Watu wote walitaka kumgusa, kwa maana nguvu ilikuwa inatoka ndani yake na kuwaponya wote.
John 7:23Ikiwa basi, mtu hutahiriwa hata siku ya Sabato kusudi Sheria ya Mose isivunjwe, mbona mnanikasirikia kwa sababu nimemfanya mtu kuwa mzima kabisa siku ya Sabato?
Acts 4:9Ikiwa mnatuuliza leo juu ya kile kitendo chema alichofanyiwa yule mtu aliyekuwa kiwete na jinsi alivyopata kuwa mzima,
Acts 19:11Mungu alifanya miujiza ya ajabu kwa mikono ya Paulo.