Mathayo 14:4
kwamba alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuishi na huyo mwanamke!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
For John said unto him, It is not lawful for thee to have her.
In Context
5Herode alitaka kumwua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.
Cross References
Mark 6:18Yohane alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kumchukua mke wa ndugu yako.”