Mathayo 14:8
Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papahapa katika sinia kichwa cha Yohane mbatizaji.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And she, being before instructed of her mother, said, Give me here John Baptist’s head in a charger.
In Context
7hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.
Cross References
Mark 6:24Hapo huyo msichana akatoka, akamwuliza mama yake, “Niombe nini?” Naye akamjibu, “Kichwa cha Yohane mbatizaji.”