Mathayo 15:16
Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi?
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus said, Are ye also yet without understanding?
In Context
15Petro akadakia, “Tufafanulie huo mfano.”
17Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutupwa nje chooni?
Cross References
Matthew 15:10Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na muelewe!
Matthew 16:11Inawezekanaje hamwelewi ya kwamba sikuwa nikisema juu ya mikate? Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!”
Mark 7:18Naye akawaambia, “Je, hata ninyi hamwelewi? Je, hamwelewi kwamba kitu kinachomwingia mtu toka nje hakiwezi kumtia unajisi,
Mark 9:32Wanafunzi hawakufahamu jambo hilo. Wakaogopa kumwuliza.
Luke 18:34Lakini wao hawakuelewa hata kidogo jambo hilo; walikuwa wamefichwa maana ya maneno hayo, na hawakutambua yaliyosemwa.