Luka 18:34
Lakini wao hawakuelewa hata kidogo jambo hilo; walikuwa wamefichwa maana ya maneno hayo, na hawakutambua yaliyosemwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
33Watampiga mijeledi, watamuua; lakini siku ya tatu atafufuka.”
35Wakati Yesu alipokaribia Yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.
Cross References
Luke 2:50Lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia.
Luke 24:25Kisha Yesu akawaambia, “Mbona mu wapumbavu kiasi hicho na mioyo yenu ni mizito hivyo kusadiki yote yaliyonenwa na manabii?
John 10:6Yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka kuwaambia.
John 16:1“Nimewaambieni hayo kusudi msiiache imani yenu.