Mathayo 15:34
Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus saith unto them, How many loaves have ye? And they said, Seven, and a few little fishes.
In Context
33Wanafunzi wakamwambia, “Hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?”
35Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.
Cross References
Matthew 16:9Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu elfu tano? Je, mlijaza vikapu vingapi vya makombo?
John 21:9Walipofika nchi kavu waliona moto wa makaa umewashwa na juu yake pamewekwa samaki na mkate.