Mathayo 15:35
Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he commanded the multitude to sit down on the ground.
In Context
34Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.”
Cross References
Mark 6:39Basi, Yesu akawaamuru wanafunzi wawaketishe watu wote makundimakundi penye nyasi.
John 6:10Yesu akasema, “Waketisheni watu.” Palikuwa na nyasi tele mahali hapo. Basi, watu wakaketi, jumla yapata wanaume elfu tano.