Mathayo 16:15
Yesu akawauliza, “Na ninyi je, mwasema mimi ni nani?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
He saith unto them, But whom say ye that I am?
In Context
16Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”
Cross References
Matthew 13:11Yesu akawajibu, “Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za Ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa.
Luke 9:20Hapo akawauliza, “Na ninyi je, mwasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo wa Mungu.”