bible.software › Mathayo › Mathayo 16 › Mathayo 16:2
Mathayo 16:2
Lakini Yesu akawajibu, “Wakati wa jioni ukifika ninyi husema: Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!
Biblia Takatifu
In The King James Version
He answered and said unto them, When it is evening, ye say, It will be fair weather: for the sky is red.
In Context
1Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba afanye ishara itokayo mbinguni.
3Na alfajiri mwasema: Leo hali ya hewa itakuwa ya dhoruba, maana anga ni jekundu na tena mawingu yametanda! Basi, ninyi mnajua sana kusoma majira kwa kuangalia anga, lakini kutambua dalili za nyakati hizi hamjui.
Read all of Mathayo 16
Cross References
Luke 12:54Yesu akayaambia tena makundi ya watu, “Mnapoona mawingu yakitokea upande wa magharibi, mara mwasema: Mvua itanyesha, na kweli hunyesha.
This Verse In Other Editions
Study Mathayo 16:2