Mathayo 16:6
Yesu akawaambia, “Muwe macho na mjihadhari na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then Jesus said unto them, Take heed and beware of the leaven of the Pharisees and of the Sadducees.
In Context
5Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
7Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.”
Cross References
Matthew 16:12Hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajihadhari siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.
Luke 12:1Wakati watu kwa maelfu walipokuwa wamekusanyika hata wakawa wanakanyagana, Yesu aliwaambia kwanza wanafunzi wake, “Jihadharini na chachu ya Mafarisayo, yaani unafiki.
John 4:33Wanafunzi wake wakaulizana, “Je, kuna mtu aliyemletea chakula?”
Galatians 5:9“chachu kidogo tu huchachusha donge lote la unga!”