Mathayo 18:22
Yesu akamjibu, “Sisemi mara saba tu, bali sabini mara saba.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Jesus saith unto him, I say not unto thee, Until seven times: but, Until seventy times seven.
In Context
23Ndiyo maana Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyeamua kukagua hesabu za watumishi wake.
Cross References
Matthew 6:11Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.
Mark 11:25Mnaposimama kusali, sameheni kila mtu aliyewakosea chochote, ili Baba yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi makosa yenu.
Ephesians 4:26Kama mkikasirika, msikubali hasira yenu iwafanye mtende dhambi, na wala msikae na hasira kutwa nzima.
Colossians 3:13Vumilianeni na kusameheana iwapo mmoja wenu analo jambo lolote dhidi ya mwenzake. Mnapaswa kusameheana kama Bwana alivyowasamehe ninyi.