Mathayo 6:11
Utupe leo chakula chetu tunachohitaji.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Give us this day our daily bread.
In Context
10Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.
12Utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.
Cross References
Matthew 4:4Yesu akamjibu, “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: Binadamu hataishi kwa mikate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu.”
John 6:31Wazee wetu walikula mana kule jangwani, kama yasemavyo Maandiko: Aliwalisha mkate kutoka mbinguni.”
1 Timothy 6:8Kwa hiyo basi, kama tunacho chakula na mavazi, tunapaswa kuridhika navyo.