Mathayo 8:31
Basi, hao pepo wakamsihi, “Ikiwa utatutoa, basi uturuhusu tuwaingie nguruwe wale.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
30Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
Cross References
Mark 5:12Basi, hao pepo wakamsihi, “Utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie.”
Revelation 12:12Kwa sababu hiyo, furahini enyi mbingu na vyote vilivyomo ndani yenu. Lakini, ole wenu nchi na bahari, maana Ibilisi amewajieni akiwa na ghadhabu kuu, kwa sababu anajua kwamba siku zake zilizobakia ni chache.”