Mathayo 24:23
“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: Kristo yuko hapa au Yuko pale, msimsadiki.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then if any man shall say unto you, Lo, here is Christ, or there; believe it not.
In Context
Cross References
Luke 17:23Na watu watawaambieni: Tazameni yuko hapa; ninyi msitoke wala msiwafuate.
John 5:43Mimi nimekuja kwa mamlaka ya Baba yangu, lakini hamnipokei; bali mtu mwingine akija kwa mamlaka yake mwenyewe, mtampokea.