Mathayo 24:42
Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Watch therefore: for ye know not what hour your Lord doth come.
In Context
41Kina mama wawili watakuwa wanasaga nafaka, mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Cross References
Matthew 24:36“Lakini, juu ya siku au saa hiyo, hakuna mtu ajuaye itakuja lini; wala malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake ndiye ajuaye.
Matthew 25:13Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa.
Mark 13:33Muwe waangalifu na kesheni, maana hamjui wakati huo utafika lini.
Luke 21:36Muwe waangalifu basi, na salini daima ili muweze kupata nguvu ya kupita salama katika mambo haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele ya Mwana wa Mtu.”
1 Corinthians 16:13Kesheni, simameni imara katika imani, muwe hodari na wenye nguvu.
1 Peter 4:7Mwisho wa vitu vyote umekaribia. Kwa hiyo mnapaswa kuwa na utaratibu na nidhamu, ili mweze kusali.