Mathayo 24:50
bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
49kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,
51Atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Cross References
Matthew 24:42Basi, kesheni, kwa maana hamjui siku atakayokuja Bwana wenu.
Revelation 3:3Kumbuka, basi, yale uliyofundishwa na jinsi ulivyoyasikia, uyatii na ubadili nia yako mbaya. Usipokesha nitakujia ghafla kama mwizi, na wala hutaijua saa nitakapokujia.