Mathayo 25:19
“Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
After a long time the lord of those servants cometh, and reckoneth with them.
In Context
Cross References
Matthew 24:48Lakini kama mtumishi mbaya akijisemea moyoni: Bwana wangu anakawia kurudi,
Luke 16:1Yesu aliwaambia wanafunzi wake: “Tajiri mmoja alikuwa na karani wake. Huyu karani alichongewa kwamba alitumia ovyo mali ya tajiri wake.
Romans 14:7Maana hakuna mtu yeyote miongoni mwetu aishiye kwa ajili yake mwenyewe, wala hakuna anayekufa kwa ajili yake mwenyewe
2 Corinthians 5:10Maana sote ni lazima tusimame mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mmoja apokee anayostahili kwa matendo aliyoyafanya wakati alipokuwa anaishi duniani, mema au mabaya.