Mathayo 25:24
“Lakini yule aliyekabidhiwa talanta moja akaja, akasema, Bwana, najua wewe ni mtu mgumu; wewe huvuna pale ambapo hukupanda, na kukusanya pale ambapo hukutawanya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
25Niliogopa, nikaificha fedha yako katika ardhi. Chukua basi mali yako.
Cross References
Matthew 7:21“Si kila aniambiaye, Bwana, Bwana, ataingia katika Ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Luke 6:46“Mbona mwaniita Bwana, Bwana, na huku hamtimizi yale ninayosema?
Luke 19:20“Mtumishi mwingine akaja, akasema: Chukua fedha yako; niliificha salama katika kitambaa,