Mathayo 25:6
Usiku wa manane kukawa na kelele: Haya, haya! Bwana arusi anakuja; nendeni kumlaki.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And at midnight there was a cry made, Behold, the bridegroom cometh; go ye out to meet him.
In Context
5Kwa kuwa bwana arusi alikawia kuja, wale wanawali wote wote walisinzia, wakalala.
7Hapo wale wanawali wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
Cross References
Matthew 24:31Naye atawatuma malaika wake wenye tarumbeta la kuvuma sana, nao watawakusanya wateule wake kutoka pande zote nne za dunia, toka mwisho huu wa mbingu hadi mwisho huu.
Matthew 25:1“Wakati huo, Ufalme wa mbinguni utafanana na wasichana kumi waliochukua taa zao, wakaenda kumlaki bwana arusi.
Mark 13:33Muwe waangalifu na kesheni, maana hamjui wakati huo utafika lini.