Mathayo 25:8
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara: Tupeni mafuta yenu kidogo maana taa zetu zinazimika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the foolish said unto the wise, Give us of your oil; for our lamps are gone out.
In Context
7Hapo wale wanawali wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao.
Cross References
Matthew 13:20Ile mbegu iliyopandwa penye mawe ni mfano wa mtu asikiaye ujumbe huo na mara akaupokea kwa furaha.
Luke 12:35“Muwe tayari! Jifungeni mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
Acts 8:24Simoni akajibu, “Tafadhali, niombeeni kwa Bwana lisije likanipata lolote kati ya hayo mliyosema.”