Mathayo 26:70
Petro akakana mbele ya wote akisema, “Sijui hata unasema nini.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But he denied before them all, saying, I know not what thou sayest.
In Context
Cross References
Matthew 26:34Yesu akamwambia, “Kweli nakwambia, usiku huu kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”
Matthew 26:51Mmoja wa wale waliokuwa pamoja na Yesu akanyosha mkono, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumishi wa Kuhani Mkuu, akamkata sikio.
Matthew 26:58Petro alimfuata kwa mbali mpaka uani kwa Kuhani Mkuu, akaingia ndani pamoja na walinzi ili apate kuona mambo yatakavyokuwa.