Mathayo 26:71
Alipokuwa akitoka mlangoni, mtumishi mwingine wa kike akamwona, akawaambia wale waliokuwa pale, “Mtu huyu alikuwa pamoja na Yesu wa Nazareti.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
70Petro akakana mbele ya wote akisema, “Sijui hata unasema nini.”
72Petro akakana tena kwa kiapo: “Simjui mtu huyo.”
Cross References
Luke 22:58Baadaye kidogo, mtu mwingine akamwona Petro, akasema, “Wewe ni mmoja wao.” Lakini Petro akajibu “Bwana we; si mimi!”