Mathayo 26:9
Marashi haya yangaliweza kuuzwa kwa bei kubwa, maskini wakapewa hizo fedha.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
For this ointment might have been sold for much, and given to the poor.
In Context
8Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii?
10Yesu alitambua mawazo yao, akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mama? Yeye amenitendea jambo jema.
Cross References
John 12:5“Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari mia tatu, wakapewa maskini?”