Mathayo 27:29
Kisha wakasokota taji ya miiba, wakamvika kichwani, wakamwekea pia mwanzi katika mkono wake wa kulia. Wakapiga magoti mbele yake, wakamdhihaki wakisema, “Shikamoo mfalme wa Wayahudi!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
28Wakamvua nguo zake, wakamvika joho la rangi nyekundu.
30Wakamtemea mate, wakauchukua ule mwanzi, wakampiga nao kichwani.
Cross References
Matthew 26:49Basi, Yuda akamkaribia Yesu, akamwambia, “Shikamoo, Mwalimu!” Kisha akambusu.
Mark 15:18Wakaanza kumsalimu, “Shikamoo Mfalme wa Wayahudi!”
John 19:2Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.