Mathayo 27:32
Walipokuwa wakienda, wakamkuta mtu mmoja jina lake Simoni, mwenyeji wa Kurene, wakamlazimisha kuuchukua msalaba wake Yesu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
31Baada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika nguo zake, kisha wakampeleka kumsulubisha.
33Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, “Mahali pa Fuvu la kichwa,”
Cross References
Matthew 5:41Mtu akikulazimisha kubeba mzigo wake kilomita moja, ubebe kilomita mbili.
Mark 15:21Walipokuwa njiani, walikutana na mtu mmoja aitwaye Simoni, mwenyeji wa Kurene. Yeye alikuwa baba wa Aleksanda na Rufo, na wakati huo alikuwa akitoka shambani. Basi, wakamlazimisha auchukue msalaba wa Yesu.
John 19:17Naye akatoka akiwa amejichukulia msalaba wake kwenda mahali paitwapo “Fuvu la Kichwa”, (kwa Kiebrania Golgotha).