Mathayo 4:10
Hapo, Yesu akamwambia, “Nenda zako Shetani! Imeandikwa: Utamwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
9akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama tu ukipiga magoti na kuniabudu.”
11Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.
Cross References
Matthew 16:23Lakini Yesu akageuka, akamwambia Petro, “Ondoka mbele yangu Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya mungu bali ni ya kibinadamu!”