Mathayo 4:22
nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they immediately left the ship and their father, and followed him.
In Context
Cross References
Mark 1:20Yesu akawaita mara, nao wakamwacha baba yao Zebedayo katika mashua pamoja na wafanyakazi, wakamfuata.
Luke 14:26“Mtu yeyote akija kwangu, asipowachukia baba na mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.
2 Corinthians 5:16Basi, tangu sasa, sisi hatumpimi mtu yeyote kibinadamu. Hata kama kwa wakati mmoja tulimpima Kristo kibinadamu, sasa si hivyo tena.