Mathayo 4:3
Basi, mshawishi akamjia, akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
2Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
Cross References
Matthew 14:33Wote waliokuwa ndani ya mashua walimsujudia, wakasema, “Hakika wewe ni Mwana wa Mungu.”
Luke 4:9Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, kwenye mnara wa Hekalu, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu,