Mathayo 6:3
Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata rafiki yako asijue ufanyalo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But when thou doest alms, let not thy left hand know what thy right hand doeth:
In Context
4Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Cross References
Matthew 8:4Kisha Yesu akamwambia, “Sikiliza, usimwambie mtu yeyote, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na ukatoe sadaka iliyoamriwa na Mose kuwathibitishia kwamba umepona.”
Matthew 12:19Hatakuwa na ubishi wala kupiga kelele, wala sauti yake haitasikika barabarani.
John 7:4Mtu hafanyi mambo kwa siri kama anataka kujulikana kwa watu. Maadam unafanya mambo haya, basi, jidhihirishe kwa ulimwengu.”