Mathayo 8:22
Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate! Waache wafu wazike wafu wao.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
But Jesus said unto him, Follow me; and let the dead bury their dead.
In Context
23Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
Cross References
Matthew 9:9Yesu aliondoka hapo, na alipokuwa anakwenda zake, alimwona mtu mmoja aitwaye Mathayo, ameketi katika ofisi ya ushuru. Basi, Yesu akamwambia, “Nifuate.” Naye Mathayo akainuka, akamfuata.
John 1:43Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Basi, akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”
Ephesians 2:5hata, ingawa tulikuwa tumekufa kwa sababu ya dhambi, alitufanya hai pamoja na Kristo. Kwa neema ya Mungu ninyi mmeokolewa.
Colossians 2:13Wakati mmoja nanyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kwa sababu ninyi mlikuwa watu wa mataifa mengine. Lakini Mungu amewapa ninyi uzima pamoja na Kristo. Mungu ametusamehe dhambi zetu zote;