Mathayo 8:25
Wanafunzi wakamwendea, wakamwamsha wakisema, “Bwana, tuokoe, tunaangamia!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And his disciples came to him, and awoke him, saying, Lord, save us: we perish.
In Context
Cross References
Mark 4:38Yesu alikuwa sehemu ya nyuma ya mashua, amelala juu ya mto. Basi, wanafunzi wakamwamsha na kumwambia, “Mwalimu, je, hujali kwamba sisi tunaangamia?”