Mathayo 8:24
Ghafla, dhoruba kali ikatokea ziwani, hata mawimbi yakaanza kuifunika mashua. Yesu alikuwa amelala usingizi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
23Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
25Wanafunzi wakamwendea, wakamwamsha wakisema, “Bwana, tuokoe, tunaangamia!”
Cross References
Luke 8:23Walipokuwa wanasafiri kwa mashua, Yesu alishikwa na usingizi, akalala. Dhoruba kali ikaanza kuvuma, maji yakaanza kuingia ndani ya mashua, wakawa katika hatari.
John 11:5Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.
Acts 27:14Lakini haukupita muda, upepo mkali uitwao “Upepo wa Kaskazi” ulianza kuvuma kutoka kisiwani.