Mathayo 8:30
Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And there was a good way off from them an herd of many swine feeding.
In Context
31Basi, hao pepo wakamsihi, “Ikiwa utatutoa, basi uturuhusu tuwaingie nguruwe wale.”
Cross References
Mark 5:11Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima.
Luke 15:15Akaomba kazi kwa mwananchi mtu mmoja wa huko naye akampeleka shambani mwake kulisha nguruwe.