Mathayo 9:31
Lakini wao wakaondoka, wakaeneza habari za Yesu katika nchi ile yote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But they, when they were departed, spread abroad his fame in all that country.
In Context
30Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.”
Cross References
Mark 1:44“Usimwambie mtu yeyote jambo hili, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani; kisha utoe sadaka kwa ajili ya kutakasika kwako kama alivyoamuru Mose, iwe uthibitisho kwao kwamba umepona.”
Luke 7:17Habari hizo zikaenea kote katika Uyahudi na katika nchi za jirani.