Marko 1:44
“Usimwambie mtu yeyote jambo hili, ila nenda ukajionyeshe kwa kuhani; kisha utoe sadaka kwa ajili ya kutakasika kwako kama alivyoamuru Mose, iwe uthibitisho kwao kwamba umepona.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
43Kisha Yesu akamwambia aende zake upesi na kumwonya vikali,
Cross References
Matthew 23:2“Walimu wa Sheria na Mafarisayo wana mamlaka ya kufafanua Sheria ya Mose.
Luke 17:14Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.
Romans 15:4Maana yote yalioandikwa yameandikwa kwa ajili ya kutufundisha sisi ili kutokana na saburi na faraja tupewayo na Maandiko hayo Matakatifu tupate kuwa na matumaini.