Ufunuo 21:22
Sikuona hekalu katika mji huo, maana Bwana Mungu Mwenye Uwezo na yule Mwanakondoo ndio Hekalu lake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And I saw no temple therein: for the Lord God Almighty and the Lamb are the temple of it.
In Context
Cross References
John 2:19Yesu akawaambia, “Vunjeni Hekalu hili, nami nitalijenga kwa siku tatu.”
John 4:23Lakini wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wanaoabudu kweli, watamwabudu Baba kwa nguvu ya Roho; watu wanaomwabudu hivyo ndio Baba anaotaka.
John 13:32Na kama utukufu wa Mungu umefunuliwa ndani ya Mwana, basi, naye Mungu ataudhihirisha utukufu wa Mwana ndani yake mwenyewe, na atafanya hivyo mara.
Colossians 2:9Maana, ndani yake Kristo katika ubinadamu wake, umo ukamilifu wote wa Mungu,