Warumi 12:17
Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Recompense to no man evil for evil. Provide things honest in the sight of all men.
In Context
18Kadiri inavyowezekana kwa upande wenu, muwe na amani na watu wote.
Cross References
Romans 12:19Wapenzi wangu, msilipize kisasi, bali mwachieni Mungu jambo hilo; maana Maandiko Matakatifu yasema: “Kulipiza kisasi ni shauri langu; mimi nitalipiza asema Bwana.”
1 Corinthians 6:6Badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini.
2 Corinthians 8:20Tunataka kuepa lawama zinazoweza kutokea kuhusu usimamizi wetu juu ya zawadi hii karimu.
Colossians 4:5Muwe na hekima katika uhusiano wenu na watu wasioamini, mkitumia vizuri kila nafasi mliyo nayo.
1 Thessalonians 5:15Angalieni mtu yeyote asimlipe mwingine maovu kwa maovu, ila nia yenu iwe kutendeana mema daima na kuwatendea mema watu wote.