Warumi 12:18
Kadiri inavyowezekana kwa upande wenu, muwe na amani na watu wote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
If it be possible, as much as lieth in you, live peaceably with all men.
In Context
17Msilipe ovu kwa ovu. Zingatieni mambo mema mbele ya wote.
Cross References
Matthew 5:9Heri wenye kuleta amani, maana wataitwa watoto wa Mungu.
Romans 14:17Maana Utawala wa Mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu.
1 Corinthians 7:15Hata hivyo, ikiwa yule asiyeamini anataka kumwacha mwenzake aliye Mkristo, basi, na amwache tu. Hapo huyo Mkristo, mume au mke, atakuwa huru. Maana Mungu amewaiteni ninyi muishi kwa amani.